Aprili 28, 2005 7:55 MU

Tovuti rasmi ya Kilinux


Tovuti rasmi ya kilinux sasa ni http://www.kilinux.udsm.ac.tz, tovuti
ya awali http://www.kilinux.org haitumiki tena. Hivyo, taarifa zote kuhusu
mradi huu na maendeleo yake zitakuwa zinapatikana kwenye tovuti hii. Mapakuzi ya Jambo OpenOffice.org 1.1.3 sasa yanapatikana kwenye kipengele mapakuzi katika tovuti hii rasmi ya kilinux badala ya http://www.o.ne.tz.


Imetumwa na Kennedy Frank | Kiungodumu | Kategoria: HABARI, OPENOFFICE