Mei 19, 2005 9:10 UM

Toleo la Kiswahili la Tovuti ya Kilinux


Sasa hivi tunaunda toleo la Kiswahili la tovuti ya kilinux. Kwahiyo, tovuti yetu itakuwa inapatikana katika lugha mbili (Kingereza & Kiswahili).
Kwa sasa kurasa nyingi za toleo la Kiswahili bado zimeandikwa kwa kingereza
au lugha zote mbili. Ila tunatarajia kutoa toleo kamili la Kiswahili hivi punde.


Imetumwa na James Chambua | Kiungodumu | Kategoria: HABARI