Machi 10, 2005 7:47 MU

Uswahilishaji wa Firefox umeanza

Baada ya kuzindua kwa mafanikio toleo letu la kwanza la kishwahili la OpenOffice.org 1.1.3 (Jambo OpenOffice.org 1.1.3) , Timu ya klnX imeanza uswahilishaji wa kivinjari huria kinachoitwa Firefox 1.0.3

Sauti ya Timu ya klnX.......


Imetumwa na Kennedy Frank | Kategoria: FIREFOX