June 22, 2006 12:12 PM

Jambo Mozilla Firefox Tayari kwa Kupakua

Timu ya kilinux inayofuraha kuwatangaza kuwa Jambo Mozilla Firefox 1.o.3,
toleo la Kiswahili la Mozilla Firefox 1.0.3, ipo tayari kwa mapakuzi. Programu hii
inapatikana katika matoleo mawili; moja kwa ajili ya kompyuta zenye na mfumo wa
Windows XP na jingine kwa ajili ya kompyuta za Linux. Kupakua jambo Mozilla Firefox
nenda kwenye kipengele cha mapakuzi (kwenye tovuti hii) na chagua Pata Mozilla Firefox.


Imetumwa na James Chambua | Kategoria: FIREFOX, HABARI