Nyenzo za kujifunzia kwa ajili ya wafasiri

Nyenzo hizi za kujifunzia zimeandaliwa na wataalamu wa lugha wa timu ya klnX ili kutoa mwega katika uswahilishaji wa programu huria.


Mtunzi:Dr. S. Sewangi
Mada:MAANA KATIKA UUNDAJI WA ISTILAHI
 OpenOffice Writer
 Adobe Acrobat
Mtunzi:Dr. J. Kiango
Mada:UUNDAJI WA MSAMIATI MPYA KATIKA KISWAHILI:ZOEZI LENYE NJIA MBALIMBALI
 OpenOffice Writer
 Adobe Acrobat
Mtunzi:Dr. G. Mrikaria
Mada:KATEGORIA ZA KISARUFI KATIKA UUNDAJI WA MANENO
 OpenOffice Writer
 Adobe Acrobat
Mtunzi:Dr. P. Mtesigwa
Mada:UUNDAJI WA ISTILAHI: UZOEVU WA BARAZA LA KISWAHILI LA TAIFA (BAKITA)
 OpenOffice Writer
 Adobe Acrobat
Mtunzi:Prof. Z. Mochiwa
Mada:UKUZAJI WA ISTILAHI: MISINGI YA KISARUFI
 OpenOffice Writer
 Adobe Acrobat
Creative Commons License
The English-Swahili IT Glossary licensed under a Creative Commons License.

Hakimiliki 2004 ya Mradi wa klnX, leseni ya Creative Commons ShareAlike: Mtoa leseni (Mradi wa Kuswahilisha Programu Huria - Pia unafahamika kama KiLiNuX au klnX) unaruhusu wengine kunakili, kusambaza, kuzinza kazi hii. Kwa malipo, wanaochukua leseni lazima wawatambue/wawasifu watunzi asilia. Kazi zalika lazima zipewe leseni zenye masharti sawa na kazi asilia.